Mfumo Mpya wa Malipo ya Automatic Sasa Upo Live!
News
April 30, 2026
6:37 PM

Mfumo Mpya wa Malipo ya Automatic Sasa Upo Live!

Sasa tumeboresha mfumo wa kisasa wa malipo ya automatic unaokuwezesha kufanya miamala kwa urahisi na haraka zaidi bila usumbufu.

Mfumo huu unasaidia njia zote kuu za malipo ikiwemo:

M-Pesa
Airtel Money
Tigo Pesa
HaloPesa
TTCL Pesa

Pia mfumo unafanya kazi na Payment Gateway za kisasa na API key integration kwa urahisi.

Unachohitaji ni kuunganisha mfumo wako na kuanza kutumia huduma ya malipo ya kisasa yenye usalama na ufanisi wa hali ya juu.

Share This Article