News
March 08, 2026
9:38 AM
Punguzo La Bei Zetu Kutoka 25,000 TZS Hadi 15,000 TZS. For Starter plan and other plan
Tume punguza Bei Katika Msimu huu wa Ramadhan na Kwaresma hivyo hivyo una weza Anza Kutumia mfumo wetu na ku host mikrotik routers zako na ku manage hotspot kwa Wateja wako wote kwa urahisi kabisa... 🔥 Kina cho Hitajika Uwe na Mikrotik router, Internet Router mfano Airtel,Yas na ukiwa navyo vyote basi Una weza register katika mfumo Wetu karibuni Sana 🤝 Wapendwa 🙏 support Benny Tech Design Company