WiFi Billing System ya Kisasa Iliyoboreshwa kwa Teknolojia ya Juu
News
April 30, 2026
6:37 PM

WiFi Billing System ya Kisasa Iliyoboreshwa kwa Teknolojia ya Juu

Karibu kwenye mfumo wa kisasa wa WiFi Billing unaosaidia PPPoE na RADIUS integration kwa usimamizi bora wa mtandao.

Vipengele vipya vinajumuisha:

Uzalishaji wa vocha ki-automatic (bulk voucher printing)
Mfumo wa subscription kwa credit (kuanzia 10,000 TZS kwa mwezi kulingana na users)
Support ya PPPoE & RADIUS
Mfumo wa update automatic (real-time improvements)
Usalama wa juu wa mtandao na control kamili

Mfumo huu umejengwa kwa teknolojia ya kisasa ili kurahisisha biashara yako ya internet na kuongeza mapato kwa urahisi zaidi.

Share This Article